“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI PICHA

YANGA SC WAANZA NA SEMINA KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

UONGOZI wa klabu ya Yanga leo asubuhi umekutana na Benchi la ufundi, wachezaji na watendaji wa Klabu kwa ajili ya utambulisho na semina kuhusu historia, matarajio na majukumu ya kila mmoja katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Rotana, Jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button