HABARI ZA NYUMBANI
VITOMIR VUTOV KOCHA MPYA WA MAKIPA SIMBA SC

KLABU ya Simba SC imemtambulisha Mbulgaria, Vitomir Vutov kuwa kocha wake mpya wa Makipa akiunganana na Wabulgaria wenzake, Dimitri Pantev ambaye ni Kocha Mkuu na Boyko Kamenov, Kocha Msaidizi.



