HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAENDA DUBAI KUCHEZA NA IRAN MECHI YA KIRAFIKI

KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeondoka leo Dar es Salaam kwenda Dubai kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Iran Jumanne ijayo, Oktoba 14.




