“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA IRAN MECHI YA KIRAFIKI DUBAI

TIMU ya taifa ya Iran imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania katika mchezo
Wa kirafiki wa Kimataifa leo Uwanja wa Rashid, Dubai, Falme za Kiarabu (UAE).
Mabao ya Iran yamefungwa na mshambuliaji wa Tractor FC ya kwao, Amirhossein Hosseinzadeh dakika ya 17 kwa penalti na kiungo wa FC Rostov ya Urusi, Mohammad Mohebi dakika ya 26.
Taifa Stars inatarajiwa kurejea kesho nchini na ikiwasili tu wachezaji watakwenda kujiunga na klabu zao kwa safari sa ugenini kwenye mechi za kwanza hatua ya 32 Bora Michuano ya Afrika.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button