TANZANIA
-
HABARI ZA NYUMBANI
TWIGA STARS YABISHA HODI FAINALI ZA AFRIKA MARA YA PILI MFULULIZO
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA ZAMBIA NYUMBANI KUFUZU KOMBE LA DUNIA
WENYEJI, Tanzania ‘Taifa Stars’ wamechapwa bao 1-0 na Zambia ‘Chipolopolo’ katika mchezo wa mwisho wa Kundi E Kufuzu Kombe la…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TANZANIA YAITANDIKA ANGOLA 4-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA U20
TIMU ya taifa ya wasichana chini ya Umri wa miaka 20 imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Angola…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TANZANIA YAPANGWA KUNDI C KOMBE LA DUNIA LA FUTSAL
TANZANIA imepangwa Kundi C katika Fainali za Kombe la Dunia za FIFA Futsal Wanawake zinazotarajiwa kufanyika nchini Philippines kuanzia Novemba…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA NIGER ZANZIBAR KUFUZU KOMBE LA DUNIA
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa bao 1-0 na Niger pungufu katika mchezo wa Kundi E…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
MAREFA WA TANZANIA KUICHEZESHA RS BERKANE UGENINI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua marefa wa Tanzania, Ahmed Arajiga, Mohamed Mkono, Kassim Mpanga na Ramadhan Kayoko kuchezesha mchezo…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YATOA SARE 1-1 UGENINI NA KONGO KUFUZU KOMBE LA DUNIA
TANZANIA imetoka sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Kongo katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Kombe la…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAUMALIZA MWENDO CHAN
SAFARI ya Tanzania katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) imeishia hatua ya Robo Fainali baada ya kufungwa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
NI MOROCCO ‘SIMBA WA ATLASI’ NA TAIFA STARS ROBO FAINALI CHAN IJUMAA DAR
MOROCCO itakutana na Tanzania katika Robo Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kumaliza nafasi…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAAMBULIA SULUHU KWA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI CHAN
TANZANIA imekamilisha mechi zake za Kundi B Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa sare ya mabao na Jamhuri…
Read More »