SENEGAL
-
HABARI ZA AFRIKA
SENEGAL YAICHAPA KWA MATUTA SUDAN MSHINDI WA TATU CHAN
TIMU ya Senegal imefanikisha kumaliza nafasi ya tatu katika Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) kufuatia ushindi wa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
MOROCCO YAITOA SENEGAL KWA MATUTA, YAINGIA FAINALI CHAN
TIMU ya Morocco imefanikiwa kwenda Fainaliya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 na Senegal usiku wa Jumanne Uwanja wa Taifa waMandela Jijini Kampala, Uganda.Katika mchezo huo mkali na wa kusisimua wa Nusu Fainali, beki wa kushoto wa Teungueth FC, Layousse…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
UGANDA NAYO YATUPWA NJE CHAN
WENYEJI, Uganda wametupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kuchapwa bao 1-0 na mabingwa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
NI SENEGAL NA UGANDA, SUDAN NA ALGERIA ROBO FAINALI
MABINGWA watetezi, Senegal wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) licha ya sare ya…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
SUDAN YAIKANDA NIGERIA 4-0, KONGO NA SENEGAL HAKUNAMBABE
TIMU ya Sudan imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa Kundi D Fainali za Ubingwa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
SENEGAL YAANZA VYEMA CHAN 2024, YAICHAPA NIGERIA 1-0 ZANZIBAR
MABINGWA watetezi, Senegal ‘Simba wa Teranga’ wameanza vyema Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 baada ya ushindi…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YASAJILI KIUNGO MSENEGAL PAPE DOUDOU DIALLO
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo mshambuliaji chipukizi Pape Doudou Diallo (21) kuwa mchezaji wake mpya kutoka Generation Foot ya…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
SIMBA SC YAMSAJILI KIUNGO MSENEGAL ALASSANE MAODO KANTE
KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo Msenegal, Alassane Maodo Kanté (24) kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao akitokea CA Bizertin…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAICHAPA SENEGAL ‘SIMBA WA TERANGA’ 2-1 MICHUANO YA CECAFA KARATU
TIMU ya taifa ya Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Senegal ‘Simba wa Teranga’ katika mchezo wa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
UGANDA THE CRANES YAIKANDA SENEGAL 2-1 KARATU MICHUANO YA CECAFA
TIMU ya taifa ya Uganda imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Senegal katika mchezo wa michuano maalum ya…
Read More »