KOMBE LA COSAFA
-
HABARI ZA AFRIKA
ANGOLA BINGWA COSAFA 2025, COMORO WASHINDI WA TATU
TIMU ya taifa ya Angola imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) baada ya ushindi…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
NI BAFANA BAFANA NA ANGOLA FAINALI KOMBE LA COSAFA
WENYEJI, Afrika Kusini wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Comoro katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mataifa…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
PIPINO ACHAGULIWA KIKOSI BORA MAKUNDI COSAFA
KIUNGO chipukizi Mtanzania, Ahmed Bakari Pipino (20) amechaguliwa kwenye kikosi cha wachezaji 11 hatua ya makundi Kombe la COSAFA, michuano…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
PIPINO AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI COSAFA
KIUNGO chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Ahmed Bakari Pipino ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mechi ya mwisho ya Kundi…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAICHAPA ESWATINI 2-1 KOMBE LA COSAFA
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Eswatini katika mchezo wa mwisho wa…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YAPOTEZA NAFASI YA KWENDA NUSU FAINALI COSAFA
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania imepoteza nafasi ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
SIMON MSUVA NAYE AONDOKA KAMBINI TAIFA STARS KUREJEA IRAQ
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva ameondoa mapema leo kwenye kambi ya timu ya taifa Jijini Bloemfontein,…
Read More » -
HABARI MOTOMOTO
SULEIMAN MWALIMU AREJEA WYDAD ATHLETIC TAYARI KWA KLABU BINGWA YA DUNIA
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ ameondoka kwa jana usiku Jijini Bloemfontein kwa gari kwenda Johannesburg…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
TAIFA STARS YALALA 1-0 KWA MADAGASCAR COSAFA
TANZANIA imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) baada ya kufungwa bao 1-0 na Madagascar…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
WACHEZAJI WA SIMBA NA YANGA WAONDOKA KAMBINI TAIFA STARS AFRIKA KUSINI
WACHEZAJI nane wanaondoka leo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars nchini Afrika Kusini kurejea nyumbani kujiunga…
Read More »