KLABU BINGWA YA DUNIA YA FIFA
-
Uncategorized
ESPÉRANCE YAANZA VIBAYA KOMBE LA DUNIA, YACHAPWA 2-0 NA FLAMENGO
WAWAKILISHI wa Afrika, Espérance ya Tunisia wameanza vibaya michuano ya Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
PSG YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-0 KOMBE LA DUNIA
MABINGWA wa Ulaya, Paris Saint-Germain ya Ufarasa wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atlético Madrid ya Hispania katika…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
JAMAL MUSIALA APIGA HAT-TRICK BAYERN YASHINDA 10-0 KOMBE LA DUNIA
TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imeibuka na ushindi wa mabao 10–0 dhidi ya Auckland City ya New Zealand katika…
Read More » -
HABARI MOTOMOTO
MESSI AWAKOSAKOSA AL AHLY, MAKIPA WANG’ARA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA
MAKIPA Oscar Ustari wa Inter Miami CF na Mohamed El Shenawy wa Al Ahly FC wamekuwa nyota wa mchezo wa…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
RAIS WYDAD AFICHUA DILI LA KUMSAJILI RONALDO LILIVYOFELI
RAIS wa klabu ya Wydad Athletic ya Casablanca nchini Morocco, Hicham Ait-Menna amesema kwamba walijaribu bila mafanikio kumsajili Mwanasoka Bora…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
MAMELODI SUNDOWNS WATUA MAREKANI NA WACHEZAJI 26 KLABU BINGWA YA DUNIA FIFA
MABINGWA wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wametaja kikosi cha wachezaji 26 watakaokwenda nao Marekani kwenye michuano ya Klabu Bingwa ya…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
AZIZ KI ACHEZA MECHI YA KWANZA WYDAD IKICHAPWA 1-0 NA FC PORTO
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, mzaliwa wa Ivory Coast, Stephane Aziz Ki jana alicheza mechi yake ya kwanza…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
JOSÉ LUIS RIVEIRO NDIYE KOCHA MPYA WA AHLY
KOCHA Mspaniola, José Luis Riveiro jana alitambulishwa kuwa Kocha mpya wa Al Ahly ya Misri wiki mbili tu baada ya…
Read More » -
HABARI ZA ULAYA
MBAPPE AWA MCHEZAJI BORA WA MSIMU REAL MADRID
MSHAMBULIAJI wa KImataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappé (26) ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa msimu wa Real Madrid ya Hispania…
Read More » -
HABARI MOTOMOTO
AZIZ KI KAZINI LEO OFISI MPYA WYDAD IKIMENYANA NA SEVILLA YA HISPANIA
NYOTA mpya wa Wydad Athletic, Stephane Aziz Ki aliyesajiliwa kutoka Yanga ya Tanzania mwishoni mwa wiki leo anawea kuwa sehemu…
Read More »