AZAM FC
-
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YATOA SARE YA PILI KATIKA MECHI YA TATU LIGI KUU
TIMU ya Azam FC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS WOTE KUANZIA UGENINI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika wote wataanzia ugenini – Azam FC ikienda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YAPANGWA NA WYDAD, SINGIDA NA BELOUIZDAD MAKUNDI SHIRIKISHO
TIMU ya Azam FC imepangwa Kundi B katika Kombe la Shirikisho Afrika pamoja na Wydad Casablanca ya Morocco, AS Maniema…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC KUCHEZA ZANZIBAR MECHI ZA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
KLABU ya Azam FC imeamua kuutumia Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya mechi zake za hatua ya makundi…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YATINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
TIMU ya Azam FC imetaka tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YABISHA HODI MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO
TIMU ya Azam FC imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda Hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC WAWASILI ZANZIBAR KUIVAA KMKM JUMAMOSI KOMBE LA SHIRIKISHO
KIKOSI cha Azam FC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YALETA PHYSIO MPYA MTUNISIA
KLABU ya Azam FC imemtambulisha Mtunisia, Hassen Guemri kuwa Physiotherapist wake mpya.
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC NA JKT TANZANIA SARE 1-1 MBWENI
BAO la dakika ya mwisho la mshambuliaji Paul Peter Kasunda limeisaidia JKT Tanzania kupata sare ya kufungana bao 1-1 na…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
AZAM FC YASONGA MBELE KIBABE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi…
Read More »