HABARI ZA NYUMBANI
SIMBA SC WAWASILI TABORA KUWAVAA TRA KESHOKUTWA UWANJA WA MWINYI

KIKOSI cha Simba SC kimewasili Tabora leo kwa ndege tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, TRA United, zamani Tabora United keshokutwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini humo.




