“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

SIMBA QUEENS YATINGA FAINALI NGAO YA JAMII WANAWAKE

TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa Queens leo Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba Queens yamefungwa na winga wa kushoto, Asha Omary Ramadhan dakika ya 23 na mshambuliaji Aisha Juma Mnunka dakika ya 74.
Simba Queens sasa inasubiri mshindi wa Nusu Fainali ya pili kati ya JKT Queens na Yanga Princess ikutane naye katika Fainali Jumapili jioni, wakati timu zitakazofungwa zitawania nafasi ya tatu mchana wa siku hiyo.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button