“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

SHIME AITA 25 TWIGA STARS KUIVAA ETHIOPIA KUFUZU KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA

KOCHA Bakari Nyundo Shime ameita wachezaji 25 kuunda kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars kitakachomenyana na Ethiopia katika mechi ya Raundi ya Pili Kufuzu Kombe la Dunai 2026 kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 nchini Morocco.
Twiga Stars itaingia kambini Oktoba 13 kwa ajili ya mechi hizo mbili za nyumbani na ugenini, ya kwanza Oktoba 22 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam na marudiano Oktoba 28 Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa.
Mshindi wa jumla atafuzu moja kwa moja Fainali za WAFCON 2026 zinazotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia Machi 17 hadi Aprili 3, mwakani.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button