“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

PAMBA YAANZA RASMI LIGI KUU, YAICHAPA MASHUJAA 2-1 CCM KIRUMBA

TIMU ya Pamba Jiji imepata ushindi wa kwanza wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Mashujaa FC mabao 2-1 mchana wa leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Mabao yote ya Pamba Jiji FC inayofundishwa na Kocha Mkuu Mkenya, Francis Barasa yamefungwa na winga Mganda, Peter Lwasa dakika ya 15 na 63, wakati la Mashujaa limefungwa na kiungo mzawa, Baraka Shaaban Mtuwi dakika ya 45.
Ni ushindi wa kwanza kwa Pamba baada ya sare mbili na kufungwa mechi moja kati ya tatu za awali, wakati Mashujaa inapoteza mechi ya pili Kati ya za awali, nyingine mbili ikishinda moja na kutoa sare moja.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button