“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

PAMBA JIJI YAPEWA POINTI ZA CHEE DHIDI YA DODOMA JIJI LIGI KUU

TIMU ya Pamba Jiji FC imepewa pointi za chee dhidi ya Dodoma Jiji FC baada ya kucunjika kwa mchezo wa LIgi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya timu hizo Jumamosi, Oktoba 25 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Naye refa Shomari Lawi wa Kigoma ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mizunguko mitano kufuatia kuboronga kwenye mchezo baina ya Fountain Gate na Dodoma Jiji.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button