“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI PICHAHABARI ZA NYUMBANI

MATUNDA YA MSAFARA WA TWENDE BUTIAMA; VODACOM YASAIDIA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MKATA

MKUU wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika Msafara wa Twende Butiama ambao umeanza Julai 3, 2025.
Aidha, msafara huu, chini ya ufadhili wa Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania, walifanikiwa kupanda jumla ya miti 100 katika kata ya Mkata iliyopo katika wilaya ya Handeni Vijijini, mkoani Tanga.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button