“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”

Kuhusu Sisi

Kuhusu Sisi(About Us)

Bin Zubeiry Sports ni tovuti ya habari za michezo inayolenga kuwaletea wasomaji wake taarifa sahihi, za wakati na za kina kuhusu matukio mbalimbali ya michezo ndani na nje ya Tanzania.

Tumejikita zaidi katika:

  • Ligi Kuu Tanzania Bara
  • Kombe la Shirikisho (TFF)
  • Taifa Stars
  • Ndondi
  • Habari za Michezo kutoka Afrika Mashariki na Ulaya

Tovuti hii inatoa habari zinazochambuliwa kitaalamu, mahojiano na wanamichezo, makala maalum, takwimu za mechi, video, na picha za matukio muhimu ya michezo.

Dira Yetu (Vision)

Kuwa chanzo namba moja cha habari za michezo barani Afrika, kwa kuaminika na kwa weledi.

Back to top button