HABARI ZA NYUMBANI
GAMONDI KOCHA MPYA TAIFA STARS, MOROCCO ‘OUT’
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha Muargentina Miguel Angel Gamondi kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya wakubwa ‘Taifa Stars’ baada ya kuachana na mzawa, Hemed Suleiman Ali ‘Morocco’.





