HABARI ZA NYUMBANI
FIFA YAIRUHUSU FOUNTAIN GATE KUKAMILISHA USAJILI NJE YA DIRISHA

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiruhusu klabu ya Fountain Gate kukamilisha usajili wake nje ya muda kutokana na awali kushindwa kufanya hivyo kwa wakati kwa sababu za kiufundi.




