HABARI ZA ULAYA
Habari moto kutoka ligi za Ulaya – EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na mashindano mengine barani Ulaya.
-
KEVIN DE BRUYNE AJIUNGA NA NAPOLI KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
KLABU ya Napoli ya Itali imemsajili kiungo mkongwe wa Kimataifa wa Ubelgiji, Kevin De Bruyne kama mchezaji huru baada ya…
Read More » -
DEPAY AFIKIA REKODI YA VAN PERSIE UHOLANZI IKISHINDA 8-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA
MSHAMBULIAJI wa Corinthians ya Brazil, Memphis Depay jana alifikia rekodi ya mabao ya gwji wa Uholanzi, Robin van Persie baada…
Read More » -
SENEGAL YAICHAPA ENGLAND 3-1 NA KUWEKA REKODI MPYA AFRIKA
WACHEZAJI wa England walizomewa jana baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Senegal katika mechi ya kirafiki Uwanja wa City Ground,…
Read More » -
NI URENO YA RONALDO BINGWA LIGI YA ULAYA
URENO imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mataifa ya Ulaya baada ya ushindi wa Penalti 5-3 dhidi ya Hispania usiku…
Read More » -
UFARANSA YAICHAPA UJERUMANI 2-0 NA KUSHINDA NAFASI YA TATU LIGI YA ULAYA
MSHAMBULIAJI Kylian Mbappe amefunga bao lake la 50 katika timu ya taifa ya Ufaransa ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi…
Read More » -
RAPHINHA MCHEZAJI BORA, FLICK KOCHA BORA WA MSIMU LA LIGA
WINGA wa Barcelona, Raphinha ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa La Liga Player baada ya kufanya kazi nzuri…
Read More » -
LAMINE YAMAL AFUNGA MAWILI HISPANIA YAICHAPA UFARANSA YA MBAPPE 5-4
MWANASOKA nyota chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal amefunga mabao mawili La Roja ikiibuka na ushindi wa mabao 5-4 dhidi ya…
Read More » -
LAMINE YAMAL ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA U-23 LA LIGA
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Hispania, Lamine Yamal ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu La Liga chini ya umri…
Read More » -
RONALDO AIPELEKA URENO FAINALI LIGI YA MATAIFA ULAYA
MWANASOKA bora wa dunia wa zamani, Cristiano Ronaldo jana aliifungia bao la ushindi Ureno ikitoka nyuma na kuibuka na ushindi…
Read More » -
PSG WAICHAPA INTER MILAN 5-0 NA KUTWAA TAJI LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa usiku wa jana imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi…
Read More »