HABARI MOTOMOTO
-
NI CHELSEA BINGWA WA DUNIA 2025, PSG YAPIGWA 3-0 MAREKANI
TIMU ya Chelsea ya England imefanikiwa kutwaa Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya ushindi wa mabao…
Read More » -
AZAM FC YAMTAMBULISHA ‘KOCHA MATAJI’ FLORENT IBENGE MKALI WA KUNG’AMUA VIPAJI
https://mwakasegenews.com/how-to-make-delicious-snack-wraps/KLABU ya Azam FC jioni ya leo imemtambulisha Jean-Florent Ikwange Ibengé (63) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa…
Read More » -
WAGOMBEA URAIS TFF WOTE WAPIGWA PANGA, AMEPITA KARIA PEKE YAKE
WAGOMBEA wote wa nafasi ya Urais Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wameenguliwa na aliyepitishwa na mtetezi wa nafasi hiyo pekee,…
Read More » -
KIPA WA ZAMANI WA NIGERIA, PETER RUFAI AFARIKI DUNIA
NAHODHA wa zamani wa timu ya soka ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, kipa Peter Rufai amefariki dunia leo, Alhamisi…
Read More » -
BODI SIMBA YAKUTANA KUJADILI HALI HALISI NDANI YA KLABU
BODI ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba imekutana leo chini ya Mwenyekiti wake, Mohamed Gulam Dewji kupitia na kujadili taarifa…
Read More » -
AZAM FC YAACHANA KWA KHERI NA GIBRIL SILLAH
KLABU ya Azam FC imetangaza kuachana na winga wake Mgambia, Gibril Sillah (26) baada ya misimu miwili ya kuwa na…
Read More » -
NI AHMED ARAJIGA REFA WA KESHO YANGA NA SINGIDA ZANZIBAR KOMBE LA CRDB
REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki…
Read More » -
SIMBA NA YANGA JINO KWA JINO LIGI KUU, BINGWA SASA KUPATIKANA JUMATANO DAR
BINGWA wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ayapatinaa Jumatano baada ya mchezo wa watani wa jadi, watetezi wa taji,…
Read More » -
TWIGA STARS MABINGWA KOMBE LA CECAFA WANAWAKE
TANZANIA imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Women’s Challenge Cup baada ya ushindi…
Read More » -
NI MWENDO WA 5-0, SIMBA NA YANGA ZOTE ZAZIADHIBU TIMU ZA MBEYA ‘TANO TANO’
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zimezidi kunoga baada ya zote, Simba na Yanga kushinda 5-0…
Read More »