HABARI ZA NYUMBANI
-
SIMBA SC YAICHAPA JKT TZ 2-1 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU
TIMU ya Simba SC imetoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu…
Read More » -
PAMBA YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA SARE NA SINGIDA LEO KIRUMBA
Wenyeji, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya…
Read More » -
MZIZE AWANIA TUZO YA BAO BORA AFRIKA ALILOWAFUNGA TP MAZEMBE DAR
BAO la mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize katika ushindi wa 3-1 dhidi ya TP Mazembe Januari 4 mwaka jana…
Read More » -
GAMONDI AWAREJESHA KAPOMBE NA TSHABALALA TAIFA STARS
KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi amewarejesha mabeki wakongwe, Shomari Kapombe na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kwenye kikosi cha timu ya taifa…
Read More » -
TAIFA STARS YA GAMONDI KUCHEZA NA KUWAIT NOVEMBA 14 CAIRO
KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi ataiongoza Tanzania kwa mara ya kwanza katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Kuwait…
Read More » -
YANGA YAHAMISHIA ZANZIBAR MECHI ZAKE ZA KUNDI B LIGI YA MABINGWA AFRIKA
KLABU ya Yanga imesema kwamba itatumia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa mechi zake zote za Kundi B Ligi…
Read More » -
MZIZE AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI TAKUWA NJE KWA MIEZI MITATU
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania na klabu ya Yanga, Clement Francis Mzize atakuwa nje ya Uwanja kwa wiki nane hadi…
Read More » -
LIGI KUU KUREJEA JUMAMOSI, SIMBA NA JKT TANZANIA KUMENYANA MEJA ISAMUHYO
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema kwamba Ligi Kuu ya NBC na Ligi ya Championship Tanzania zote zinarejea baada…
Read More » -
MKUTANO MKUU WA MWAKA SIMBA SC KUFANYIKA NOVEMBA 30 DAR
MKUTANO Mkuu wa kawaida wa mwaka 2025 wa klabu ya Simba unatarajiwa kufanyika Nov3mba 30, mwaka huu jijini Dar es…
Read More » -
SIMBA NA YANGA ZOTE KUANZIA NYUMBANI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wote wataanzia nyumbani, Yanga wakiwakaribisha AS FAR Rabat ya Morocco Novemba 22…
Read More »