HABARI PICHA
-
HERSI AZURU KUMBUKUMBU YA KRISTO BRAZIL NA KUKABIDHI JEZI YA YANGA ALIYOISAINI
RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said mapema leo ametembelea Mnara wa kumbukumbu ya Krsto katika Kanisa Katoliki la Kristo…
Read More » -
TSHABALALA ARIPOTI YANGA KUANZA RASMI KAZI
BEKI Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ leo ameripoti katika klabu yake mpya, Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mpya na kwa ujumla…
Read More » -
CLEMENT MZIZE ‘CLEMENTINHO’ BADO YUPO SANA YANGA
MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize (21) ameamua kubaki kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga ya Dar es Salaam hadi mwaka 2027.Mzize ana…
Read More » -
YANGA SC YATAMBULISHA JEZI MPYA ZA 2025-26
KLABU ya Yanga imetambulisha jezi zake za msimu mpya amabzo ni kijani ya nyumbani, njano ya ugenini na nyeusi ambayo…
Read More » -
MRITHI WA TSHABALALA AWASILI KAMBINI SIMBA SC MISRI
BEKI chipukizi wa kushoto, Anthony Richard Mligo (18) akifanya mazoezi ya kuinua uzito Gym Jijini Ismailia nchini Misri baada ya…
Read More » -
MTAALAMU WA FIZIKI TSHEPHANG ‘CHYNA’ MOKAILA AKIWAFUA WACHEZAJI YANGA
KOCHA wa mazoezi ya utimamu wa mwili (Physic), Tshephang ‘Chyna’ Mokaila raia wa Botswana akiwaongoza wachezaji wa Yanga leo kwenye…
Read More » -
DEO MUNISHI ‘DIDA’ ASILIMU, SASA ATAITWA YUNUS
KIPA mkongwe wa Kimataifa wa Tanznaia, Deogratius Boniventure Munishi ‘Dida’ aliyewika kwenye klabu za Azam FC, Mtibwa Sugar, Mbeya City,…
Read More » -
AZAM FC YALETA KOCHA MPYA WA FITNESS KUTOKA TUNISIA
KLABU ya Azam FC imemtambulisha Mtunisia, Medni Marzouk kuwa Kocha wake mpya wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Fitness ambaye…
Read More » -
YANGA SC WAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA HAIER SH. BILIONI 3.3 MIAKA MITATU
KLABU ya Yanga imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Sh. Bilioni 3.3 kwa miaka mitatu…
Read More » -
WACHEZAJI SIMBA SC WAFANYA MAZOEZI KWA BIDII KAMBINI MISRI
KIPA wa Simba SC, Mousa Camara akifanya mazoezi ya kuinua uzito Gym kuimarisha misuli yake katika kambi ya timu hiyo…
Read More »