HABARI MOTOMOTO
-
MO DEWJI ASEMA AMETUMIA SH. BILIONI 87 SIMBA ANAAMBIWA HATOI FEDHA
MWENYEKITI wa Bodi ya Simba SC, Mohamed Gulam Dewji amesema kwamba ndani ya miaka saba ya uwekezaji wake ametumia zaidi…
Read More » -
NI YANGA SC MABINGWA TENA KOMBE LA CRDB, WAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 ZANZIBAR
TIMU ya Yanga imefanikiwa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi…
Read More » -
MESSI AWAKOSAKOSA AL AHLY, MAKIPA WANG’ARA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA
MAKIPA Oscar Ustari wa Inter Miami CF na Mohamed El Shenawy wa Al Ahly FC wamekuwa nyota wa mchezo wa…
Read More » -
SERIKALI YAMPONGEZA MZEE BAKHRESA KWA UWEKEZAJI MKUBWA MICHEZONI
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amempongeza mmiliki wa kampuni ya Azam Media Limited, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh…
Read More » -
BENKI YA CRDB YAFAFANUA; FEDHA ZA YANGA ZIPO TFF
BENKI ya CRDB, wadhamini wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema zawadi za bingwa na mashindano ya msimu…
Read More » -
TAIFA STARS KUSHIRIKI KOMBE LA COSAFA AFRIKA KUSINI
TIMU ya soka ya taifa Tanzania inatarajiwa kucheza michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) inayotarajiwa kuanza…
Read More » -
SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 1-0 NA KUKAA ‘ANGA’ ZA UBINGWA LIGI KUU
WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya…
Read More » -
BILA AZIZ KI WYDAD YACHAPWA 1-0 NA SEVILLA MECHI YA KIRAFIKI CASABLANCA
NYOTA mpya wa Wydad Athletic, Stephane Aziz Ki aliyesajiliwa kutoka Yanga ya Tanzania mwishoni mwa wiki leo hakuwepo hata benchi…
Read More » -
LAMINE YAMAL ASAINI MKATABA MPYA MNONO BARCELONA
MSHAMBULIAJI chipukizi, Lamine Yamal Nasraoui Ebana amesaini mkataba mpya wa muda mrefu kuendelea na kazi Barcelona ambao utamuweka kwenye klabu…
Read More » -
AZIZ KI KAZINI LEO OFISI MPYA WYDAD IKIMENYANA NA SEVILLA YA HISPANIA
NYOTA mpya wa Wydad Athletic, Stephane Aziz Ki aliyesajiliwa kutoka Yanga ya Tanzania mwishoni mwa wiki leo anawea kuwa sehemu…
Read More »