“MARINE”    
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

AZAM FC WAWASILI ZANZIBAR KUIVAA KMKM JUMAMOSI KOMBE LA SHIRIKISHO

KIKOSI cha Azam FC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, KMKM Jumamosi Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Timu hizo zitarudiana Oktoba 26, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atakwenda hatua ya makundi, Hatua ya 16 Bora.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button