HABARI PICHA
YANGA SC WAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA HAIER SH. BILIONI 3.3 MIAKA MITATU

KLABU ya Yanga imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Sh. Bilioni 3.3 kwa miaka mitatu kama mdhamini mwenza wa klabu hiyo kwa michuano ya nyumbani pekee, ambao nembo yao itawekwa kwenye bega la kushoto la jezi za mabingwa hao wa Tanzania.







