• HABARI MPYA

        Wednesday, April 09, 2025

        SERIKALI YAUFUNGA UWANJA WA MKAPA KWA MAREKEBISHO YA PITCH


        SERIKALI imeufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ili kupisha marekebisho katika eneo la kuchezea na imeziagiza timu zote zilizoomba kufumia Uwanja wa huo hata kwa mechi za Kimataifa kutafuta Uwanja mwingine.
        Ni Hatua iliyochukuliwa muda mfupi tu baada ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba SC na Al Masry ya Misri uliofanyika uwanjani hapo.
        Hali ya eneo la kuchezea (Pitch) hakika haikuonekana kuwa sawa pengine kutokana na mvua zinazoendelea kuchangia kuharibu Uwanja huo.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SERIKALI YAUFUNGA UWANJA WA MKAPA KWA MAREKEBISHO YA PITCH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry