ALIYEWAHI kuwa Daktari wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, baadaye Waziri wa Michezo, Profesa Philemon Mikol Sarungi (89) amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam.
Sarungi alikuwa Daktati wa timu za taifa kuanzia miaka ya 1970 hadi 1980 mwanzoni, kabla ya kugeukia siasa na kuwa Mbunge wa jimbo la Rorya na kuteuliwa Waziri wa Michezo.
Sarungi ni mpenzi na mwanachama wa klabu ya Simba SC.
Mungu ampumzishe kwa amani.
0 comments:
Post a Comment