Saturday, March 08, 2025

    MECHI YA SIMBA NA YANGA YAAHIRISHWA RASMI KUPISHA UCHUNGUZI

    MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga na Simba uliopangwa kufanyika leo kuanzia Saa 1:15 usiku umeahirishwa rasmi hadi hapo utakapopangiwa tarehe nyingine.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MECHI YA SIMBA NA YANGA YAAHIRISHWA RASMI KUPISHA UCHUNGUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry