Sunday, March 30, 2025
SIMBA SC 2-1 BIG MAN FC (KOMBE LA TFF)
Sunday, March 30, 2025
Saturday, March 29, 2025
PAMBA JIJI NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Saturday, March 29, 2025
TIMU ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na B...
MABINGWA WATETEZI, YANGA NAO WATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Saturday, March 29, 2025
MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya...
Friday, March 28, 2025
KAGERA SUGAR YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Friday, March 28, 2025
TIMU ya Kagera Sugar imefanikiwa kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Ben...
Thursday, March 27, 2025
SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
Thursday, March 27, 2025
TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ...
Wednesday, March 26, 2025
STAND UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Wednesday, March 26, 2025
TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB...
TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO KIFUZU KOMBE LA DUNIA
Wednesday, March 26, 2025
TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania usiku wa kuamkia leo imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Morocco katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Ko...
Monday, March 24, 2025
MVUA YAVUNJA MECHI YA SINGIDA NA YANGA UWANJA MPYA
Monday, March 24, 2025
MCHEZO wa kirafiki baina ya wenyeji, Singida Black Stars na Yanga ya Dar es Salaam imechezwa kwa dakika 57 tu, kabla ya kusitishwa kutokana ...
Friday, March 21, 2025
KMC YAICHAPA AZAM FC 4-2 PALE PALE CHAMAZI
Friday, March 21, 2025
TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Azam FC katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, ...
RAYVANNY AZINDUA KULA SHAVU YA PIGABET
Friday, March 21, 2025
MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Raymond Shaban Mwakyusa maarufu Rayvanny ametangazwa kuwa balozi wa kampuni ya michezo ya kubashiri m...
Wednesday, March 19, 2025
SIMBA QUEENS 0-1 YANGA PRINCESS (LIGI KUU YA WANAWAKE TZ BARA)
Wednesday, March 19, 2025
Tuesday, March 18, 2025
YANGA PRINCESS YAICHAPA SIMBA QUEENS 1-0 MWENGE
Tuesday, March 18, 2025
TIMU ya Yanga Princess imeibuka na ushindi wa bao 1-0 na watani wao, Simba Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jioni ...
Monday, March 17, 2025
SASA NI SAJENTI IBRAHIM ABDALLAH HAMAD, BACCA APANDISHWA CHEO KMKM
Monday, March 17, 2025
BEKI wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ amepandishwa cheo kazini kwake, Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kutoka Kopl...
Saturday, March 15, 2025
SERENGETI GIRLS YATOLEWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KWA VIPIGO ‘DABO’
Saturday, March 15, 2025
TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2025 baada ya...
SIMBA SC 6-0 DODOMA JIJI FC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
Saturday, March 15, 2025
Friday, March 14, 2025
KIBU NA AHOUA KILA MMOJA AFUNGA MAWILI, SIMBA YAITANDIKA DODOMA JIJI 6-0 MWENGE
Friday, March 14, 2025
TIMU ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo a Uwanja ...
TAIFA STARS KUIVAA MOROCCO BILA SAMATTA NI MAJERUHI
Friday, March 14, 2025
KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ amemrejesha kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars mshambuliaji Kelvin Pius John wa Aalborg BK ya Denma...
Thursday, March 13, 2025
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
JKT TANZANIA
KOMBE LA TFF
MBEYA CITY
MBEYA KWANZA
MTIBWA SUGAR
SINGIDA UNITED
JKT TANZANIA, SINGIDA NA MBEYA KWANZA ZATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
Thursday, March 13, 2025
TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRD...
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
JKT TANZANIA
KOMBE LA TFF
MBEYA CITY
MBEYA KWANZA
MTIBWA SUGAR
SINGIDA UNITED
YANGA SC 3-1 COASTAL UNION (KOMBE LA TFF)
Thursday, March 13, 2025
SIMBA SC 3-0 TMA STARS (KOMBE LA TFF)
Thursday, March 13, 2025
Wednesday, March 12, 2025
MAXI APIGA MBILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 3-1 KOMBE LA CRDB
Wednesday, March 12, 2025
MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki...
Tuesday, March 11, 2025
PRINCE DUBE MCHEZAJI BORA LIGI KUU FEBRUARI, HAMDI KOCHA BORA
Tuesday, March 11, 2025
KLABU ya Yanga imeshinda Tuzo za Kocha Bora na Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Februari mwaka huu. Mshambuliaji Mzi...
SIMBA SC YAWAPIGA TMA STARS 3-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA CRDB
Tuesday, March 11, 2025
TIMU ya Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baad...
Sunday, March 09, 2025
SERENGETI GIRLS YATANDIKWA 3-0 NA ZAMBIA KIFUZU KOMBE LA DUNIA U17
Sunday, March 09, 2025
TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefungwa mabao 3-0 na Zambia katika mchezo wa kwanza Raundui ya Pili ...
Saturday, March 08, 2025
MECHI YA SIMBA NA YANGA YAAHIRISHWA RASMI KUPISHA UCHUNGUZI
Saturday, March 08, 2025
MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga na Simba uliopangwa kufanyika leo kuanzia Saa 1:15 usiku umeahirishwa...
SIMBA SC YATISHIA KUTOINGIZA TIMU KWA MKAPA LEO DHIDI YA YANGA
Saturday, March 08, 2025
KLABU ya Simba imetishia kutocheza mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Yanga leo baada ya usiku wa jana kuzuiwa kufanya mazoezi ...
Friday, March 07, 2025
DODOMA JIJI NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU JAMHURI
Friday, March 07, 2025
TIMU za Dodoma Jiji na Coastal Union ya Tanga zimegawana pointi baada ya sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
KAGERA SUGAR YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 KAITABA
Friday, March 07, 2025
WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwan...
JKT TANZANIA YAWAPIGA TABORA UNITED 2-1 PALE PALE MWINYI
Friday, March 07, 2025
TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
Thursday, March 06, 2025
MSINDO APIGA MBILI AZAM FC YAICHARAZA PRISONS 4-0 CHAMAZI
Thursday, March 06, 2025
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja...
SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA NAMUNGO 1-0 PALE PALE RUANGWA
Thursday, March 06, 2025
BAO pekee la mshambuliaji Mghana, Jonathan Sowah dakika ya 79 limeipa Singida Black Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika...
MOKONO APIGA ZOTE MBILI FOUNTAIN GATE YAICHAPA KMC 2-1 MWENGE
Thursday, March 06, 2025
TIMU ya Fountain Gate imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
Wednesday, March 05, 2025
KENGOLD YATOA SARE 2-2 NA MASHUJAA SOKOINE
Wednesday, March 05, 2025
WENYEJI, Kengold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja w...
PROFESA PHILEMON MIKOL SARUNGI HATUNAYE, AFARIKI DUNIA LEO DAR
Wednesday, March 05, 2025
ALIYEWAHI kuwa Daktari wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, baadaye Waziri wa Michezo, Profesa Philemon Mikol Sarungi (89) amefariki dunia ...
NI AHMED ARAJIGA PILATO WA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI
Wednesday, March 05, 2025
REFA Ahmed Arajiga ndiye atakayepuliza kipyenga kwenye mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga na Simba Jumamo...
Tuesday, March 04, 2025
JKT TANZANIA, TABORA UNITED NA MTIBWA SUGAR ZATINGA 16 BORA KOMBE LA CRDB
Tuesday, March 04, 2025
WENYEJI, JKT Tanzania jana walifanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benk...
Sunday, March 02, 2025
AZAM FC, TANZANIA PRISONS ZATOLEWA NA TIMU ZA CHAMPIONSHIP KOMBE LA CRDB
Sunday, March 02, 2025
TIMU ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na benki ya CRDB baada ya ku...
Saturday, March 01, 2025
COASTAL UNION 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
Saturday, March 01, 2025
MUKWALA APIGA HAT TRICK SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 ARUSHA
Saturday, March 01, 2025
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja ...
Subscribe to:
Posts (Atom)