• HABARI MPYA

        Friday, February 07, 2025

        YANGA NA COASTAL 32 BORA KOMBE LA CRDB, AZAM NA SIMBA WAPATA VIBONDE


        MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Coastal Union ya Tanga katika hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na  Benki ya CRDB.
        Vigogo wengine wa soka nchini, Simba SC watamenyana na TMA Stars ya Arusha, Azam FC na Mbeya City, wakati Singida Black Stars watamenyana na Leo Tena FC ya Bukoba.
        Yanga ikivuka hatua hiyo itakutana na mshindi kati ya Polisi Tanzania na Songea FC, wakati Azam FC itakutana na mshindi kati ya Mtibwa Sugar na Town Stars na Simba itacheza na mshindi kati ya Tanzania Prisons na Big Man.
        MECHI ZOTE HATUA YA 32 BORA KOMBE LA CRDB
        JKT Tanzania Vs Biashara United 
        Tabora United Vs Transit Camp 
        Mashujaa FC Vs Geita Gold 
        Simba SC Vs TMA Star's 
        AzamFC Vs Mbeya City 
        Singida Black Stars Vs Leo Tena FC 
        Yanga SC Vs Coastal Union 
        Fountain Gate Vs Stand United 
        Cosmolitan Vs KMC 
        Mbeya Kwanza Vs Mambali Ushirikiano 
        Tanzania prisons Vs Bigman FC 
        Kagera Sugar Vs Namungo FC 
        Polisi Tanzania Vs Songea United 
        Kiluvya FC Vs Pamba Jiji 
        Mtibwa sugar Vs Tows Stars
        Girrafu Academy Vs Green Worries


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA NA COASTAL 32 BORA KOMBE LA CRDB, AZAM NA SIMBA WAPATA VIBONDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry