• HABARI MPYA

        Thursday, February 06, 2025

        WYDAD YAMTAMBULISHA SULEIMAN MWALIMU KWA KISHINDO


        KLABU ya Wydad Athletic imemfanyia utambulisho mkubwa mshambuliaji chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ (19) iliyemsajili kutoka Singida Black Stars.
        Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram, Wydad imemtambulisha Suleiman katika post tano zinazofuarana, mbili video na baadhi imeandika kwa kiswahili.
        GONGA KUSOMA PAGE NA WYDAD
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WYDAD YAMTAMBULISHA SULEIMAN MWALIMU KWA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry