Friday, February 28, 2025

    TABORA UNITED YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 ALI HASSAN MWINYI


    BAO la kujifunga la Dissan Galiwango dakika ya 36 limeipa Tabora United ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jjji mchana wa leo Uwanka wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
    Kwa ushindi huo, Tabora United inafikisha pointi 37, ingawa inabaki nafasi ya tano, ikizidiwa pointi nne na Singida Black Stars baada ya wote kucheza mechi 22, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 26 za mechi 21 nafasi ya saba.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TABORA UNITED YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 ALI HASSAN MWINYI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry