MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ (19) leo ameanza mazoezi na klabu yake mpya, Wydad Athletic Jijini Casablanca nchini Morocco.
Mwalimu ameanza mazoezi kwenye kikosi cha Kocha Muafrika Kusini, Rhulani Mokwena siku moja baada ya kutambulishwa kufuatia kujiunga na Wydad AC akitokea Singida Black Stars.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment