WENYEJI, Namungo wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Costal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Kwa matokeo hayo, Namungo wanafikisha pointi 22 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 12, wakati Coastal Union inafikisha pointi 24, ingawa inabaki nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 21.
0 comments:
Post a Comment