WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa ya bila mabao na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Kwa matokeo hayo, 20 na kusogea nafasi ya tisa ikizizidi tu wastani wa mabao JKT Tanzania na Dodoma Jiji baada ya wote kucheza mechi 18.
Kwa upande wao Coastal Union wanafikisha pointi 22 na kusogea nafasi ya sita ikiizidi tu wastani wa mabao KMC baada ya nao pia kucheza mechi 18.
0 comments:
Post a Comment