KOCHA Muafrika Kusini, Rulani Mokwena amemuanzishia benchi mshambuliaji mpya wa Wydad Athletic Club, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ Katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, Botola Pro dhidi ya Hassania Union Sport d'Agadir unaotarajiwa kuanza Saa 4:00 usiku wa leo Uwanja wa Larbi Zaouli Jijini Casablanca.
GONGA KUTAZAMA ZAIDI CHUMBA CHA WACHEZAJI WYDAD AC
0 comments:
Post a Comment