WENYEJi, Coastal Union wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Kwa matokeo hayo katika mchezo wa 20 kwa timu zote, Coastal Union inafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya saba kutoka ya sita, wakati Azam FC inafikisha pointi 43 na inabaki nafasi ya tatu.
0 comments:
Post a Comment