// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 02/01/2025 - 03/01/2025 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 02/01/2025 - 03/01/2025 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Thursday, February 27, 2025
    AZAM FC YABANWA CHAMAZI, SARE 1-1 NA NAMUNGO

    AZAM FC YABANWA CHAMAZI, SARE 1-1 NA NAMUNGO

    WENYEJI, Azam FC wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin...
    JKT TANZANIA YATOA SARE NA KENGOLD, 1-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YATOA SARE NA KENGOLD, 1-1 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja ...
    TWIGA STARS YAITOA EQUTORIAL GUINEA, SASA KUIVAA ETHIOPIA

    TWIGA STARS YAITOA EQUTORIAL GUINEA, SASA KUIVAA ETHIOPIA

    TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars imefanikiwa kusonga mbeke katika hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwnaia tiketi ya Fain...
    Wednesday, February 26, 2025
    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA KMC KAITABA

    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA KMC KAITABA

    TIMU ya Kagera Sugar imeambulia sare ya mabao mbele ya wageni wao, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ka...
    SINGIDA BLACK STARS YAITANDIKA MASHUJAA FC 3-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAITANDIKA MASHUJAA FC 3-0 LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya le...
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 BABATI

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 BABATI

    BAO la mkwaju wa penalti la Amos Charles dakika ya 27 limeipa Fountain Gate ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi K...
    Sunday, February 23, 2025
    NAMUNGO FC YABANWA NA COASTAL UNION, ZATOKA SULUHU RUANGWA

    NAMUNGO FC YABANWA NA COASTAL UNION, ZATOKA SULUHU RUANGWA

    WENYEJI, Namungo wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Costal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ma...
    CHAMA ATOKEA BENCHI KUFUNGA MABAO MAWILI, YANGA YAIPIGA MASHUJAA 5-0 KIGOMA

    CHAMA ATOKEA BENCHI KUFUNGA MABAO MAWILI, YANGA YAIPIGA MASHUJAA 5-0 KIGOMA

    MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SARE KWA PAMBA, 2-2 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SARE KWA PAMBA, 2-2 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mcha...
    Saturday, February 22, 2025
    KIPAGWILE AING’ARISHA DODOMA JIJI, YAICHAPA FOUNTAIN GATE 1-0

    KIPAGWILE AING’ARISHA DODOMA JIJI, YAICHAPA FOUNTAIN GATE 1-0

    BAO pekee la winga Iddi Kipagwile dakika ya 38 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC...
    MECHI YA SIMBA NA AZAM SASA KUCHEZWA MKAPA SAA 1:00 USIKU

    MECHI YA SIMBA NA AZAM SASA KUCHEZWA MKAPA SAA 1:00 USIKU

    MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC umehamishwa kutoka Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC ...
    KENGOLD YAAMBULIA SARE KWA KMC, ZAFUNGANA 1-1 SOKOINE

    KENGOLD YAAMBULIA SARE KWA KMC, ZAFUNGANA 1-1 SOKOINE

    WENYEJI, Kengold wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jiji...
    Friday, February 21, 2025
    JKT TANZANIA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioninya leo Uw...
    TANZANIA PRISONS YATOA SARE NA TABORA UNITED, 1-1SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YATOA SARE NA TABORA UNITED, 1-1SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa...
    Thursday, February 20, 2025
    Wednesday, February 19, 2025
    AHOUA AFUNGA PENALTI MBILI, ATEBA AKOSA MOJA SIMBA YAICHAPA NAMUNGO PUNGUFU 3-0 RUANGWA

    AHOUA AFUNGA PENALTI MBILI, ATEBA AKOSA MOJA SIMBA YAICHAPA NAMUNGO PUNGUFU 3-0 RUANGWA

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Maj...
    COASTAL UNION NA AZAM FC HAKUNA MBABE, 0-0 ARUSHA

    COASTAL UNION NA AZAM FC HAKUNA MBABE, 0-0 ARUSHA

    WENYEJi, Coastal Union wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sh...
    MASHUJAA FC YAICHAPA PAMBA JIJI 2-0 LAKE TANGANYIKA

    MASHUJAA FC YAICHAPA PAMBA JIJI 2-0 LAKE TANGANYIKA

    WENYEJI, Mashujaa wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja w...
    Tuesday, February 18, 2025
    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 JAMHURI

    WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu...
    JKT TANZANIA YAIKANDA KMC 2-0 PALE PALE MWENGE KWAO

    JKT TANZANIA YAIKANDA KMC 2-0 PALE PALE MWENGE KWAO

    TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    KENGOLD YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE, LAKINI BADO INASHIKA MKIA

    KENGOLD YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE, LAKINI BADO INASHIKA MKIA

    WENYEJI, Kengold wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya Uwanja wa Sokoine...
    Monday, February 17, 2025
    YANGA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MZIZE NA DUBE VINARA WA MABAO

    YANGA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MZIZE NA DUBE VINARA WA MABAO

    MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni...
    FOUNTAIN GATE NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, SARE 0-0 BABATI

    FOUNTAIN GATE NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, SARE 0-0 BABATI

    WENYEJI, Fountain Gate wametoka sare ya bila mabao na jirani zao, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    Saturday, February 15, 2025
    Friday, February 14, 2025
    KAGERA SUGAR YAIADABISHA FOUNTAIN GATE 3-0 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAIADABISHA FOUNTAIN GATE 3-0 KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    NAMUNGO FC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    NAMUNGO FC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    BAO pekee la Ibrahim Joshua dakika ya tatu limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
    AZIZ KI APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA KMC 6-1 MWENGE

    AZIZ KI APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA KMC 6-1 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya wenyeji, KMC  jioni ya ...
    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA KENGOLD, 1-1 MWINYI

    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA KENGOLD, 1-1 MWINYI

    WENYEJI, Tabora United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali H...
    Thursday, February 13, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MBWENI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MBWENI

    BAO pekee la mshambuliaji Mghana, Jonathan Sowah dakika ya 51 limeipa Singida Black Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania kati...
    Tuesday, February 11, 2025
    TABORA UNITED YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE KAITABA

    TABORA UNITED YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE KAITABA

    TIMU ya Tabora United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...
    CHASAMBI AFUNGA LA TATU SIMBA YAICHAPA PRISONS 3-0 MWENGE

    CHASAMBI AFUNGA LA TATU SIMBA YAICHAPA PRISONS 3-0 MWENGE

    WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    MASHUJAA NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, 0-0 KIGOMA

    MASHUJAA NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, 0-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa ya bila mabao na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lak...
    Monday, February 10, 2025
    YANGA YATOKA PATUPU TENA MBWENI, SULUHU NA JKT TANZANIA ISAMUHYO

    YANGA YATOKA PATUPU TENA MBWENI, SULUHU NA JKT TANZANIA ISAMUHYO

    MABINGWA watetezi, Yanga wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    KMC YAILAMBA SINGIDA BLACK STARS MABAO 2-0 MWENGE

    KMC YAILAMBA SINGIDA BLACK STARS MABAO 2-0 MWENGE

    WENYEJI, KMC wamebuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa H...
    KENGOLD YAICHAPA FOUNTAIN GATE MABAO 2-0 UWANJA WA SOKOINE

    KENGOLD YAICHAPA FOUNTAIN GATE MABAO 2-0 UWANJA WA SOKOINE

    WENYEJI, Kengold wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoi...
    Sunday, February 09, 2025
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE KWA DODOMA JIJI, 2-2 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE KWA DODOMA JIJI, 2-2 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanj...
    KIJANA WETU KAANZIA BENCHI MECHI YA LIGI YA MOROCCO USIKU WA LEO

    KIJANA WETU KAANZIA BENCHI MECHI YA LIGI YA MOROCCO USIKU WA LEO

    KOCHA Muafrika Kusini, Rulani Mokwena amemuanzishia benchi mshambuliaji mpya wa Wydad Athletic Club, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ Katik...
    KASEKE AFUNGA DAKIKA ZA JIONI PAMBA YAILAZA AZAM FC 1-0

    KASEKE AFUNGA DAKIKA ZA JIONI PAMBA YAILAZA AZAM FC 1-0

    WENYEJI, Pamba Jiji wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa C...
    Friday, February 07, 2025
    SULEIMAN GOMEZ AANZA MAZOEZI NA MOTO WYDAD CASABLANCA

    SULEIMAN GOMEZ AANZA MAZOEZI NA MOTO WYDAD CASABLANCA

    MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ (19) leo ameanza mazoezi na klabu yake mpya, Wydad Athlet...
    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 2-2 NA KAGERA SUGAR LITI

    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 2-2 NA KAGERA SUGAR LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uw...
    COASTAL UNION YAICHAPA JKT TANZANIA 2-1 ARUSHA

    COASTAL UNION YAICHAPA JKT TANZANIA 2-1 ARUSHA

    WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    YANGA NA COASTAL 32 BORA KOMBE LA CRDB, AZAM NA SIMBA WAPATA VIBONDE

    YANGA NA COASTAL 32 BORA KOMBE LA CRDB, AZAM NA SIMBA WAPATA VIBONDE

    MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Coastal Union ya Tanga katika hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA