Friday, January 03, 2025

    ZANZIBAR HEROES YAICHAPA STARS 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI


    BAO la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 52 limetosha kuipa Zanzibar Heroes ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Gombani, Pemba.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZANZIBAR HEROES YAICHAPA STARS 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry