• HABARI MPYA

        Thursday, January 16, 2025

        YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA


        KLABU ya Yanga imemtambulisha winga wa kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela kutoka AS Vita Club ya kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa mchezaji wake mpya wa pili dirisha hili dogo.
        Anamfuatia beki wa kulia, Israel Patrick Mwenda anayeweza kucheza kama winga wa kulia pia na kiungo, aliyesajiliwa kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Singida Black Stars.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry