WENYEJI, Zanzibar wamefanikiwa kutwa Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso usiku wa leo Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar. Mabao ya Zanzibar Heroes yamefungwa na Ibrahim Hamad ’Hilika’ dakika ya 41 na Hassan Ali dakika ya 90’+2, wakati la Burkina Faso limefungwa na Abuobacar Traore dakika ya 69.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment