KLABU ya Azam FC imemtambulisha beki Zouzou Landry kutoka AFAD Djekanou ya Ivory Coast kuwa mchezaji wake wa kwanza mpya katika dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
Zouzou Landry, mwenye umri wa miaka 23 tu, anayecheza nafasi za beki wa kushoto na wa kati — amesaini mkataba wa miaka minne, utakaodumu hadi mwaka 2028.
0 comments:
Post a Comment