Friday, January 31, 2025
    Tuesday, January 28, 2025
    TANZANIA YAWEKWA NA NIGERIA, TUNISIA NA UGANDA KUNDI C AFCON 2025

    TANZANIA YAWEKWA NA NIGERIA, TUNISIA NA UGANDA KUNDI C AFCON 2025

    TANZANIA imepangwa Kundi C katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zitakazofanyika kuanzia Desemba 21 mwaka huu hadi Janua...
    Sunday, January 26, 2025
    Saturday, January 25, 2025
    YANGA SC YAICHAPA COCPO 5-0 NA KUTINGA 32 BORA KOMBE LA CRDB

    YANGA SC YAICHAPA COCPO 5-0 NA KUTINGA 32 BORA KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefuzu Raundi ya Nne ya  Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB ...
    Tuesday, January 21, 2025
    MZIZE MCHEZAJI BORA, RAMOVIC KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA 2024

    MZIZE MCHEZAJI BORA, RAMOVIC KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA 2024

    MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Francis Mzize ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mwezi Desemba 2024, huku Kocha...
    Sunday, January 19, 2025
    SIMBA SC YAWATANDIKA WAALGERIA 2-0 KIBU NA ATEBA

    SIMBA SC YAWATANDIKA WAALGERIA 2-0 KIBU NA ATEBA

    WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS Constantine ya Algeria katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la Shirikish...
    Saturday, January 18, 2025
    YANGA WAIKOSA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

    YANGA WAIKOSA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

    SAFARI ya Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika imeishia hatua ya 16 Bora baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi A kufuatia sare ya bi...
    Thursday, January 16, 2025
    RAIS MWINYI AWAZAWADIA SH MILIONI 50 WACHEZAJI ZANZIBAR HEROES

    RAIS MWINYI AWAZAWADIA SH MILIONI 50 WACHEZAJI ZANZIBAR HEROES

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes ...
    Wednesday, January 15, 2025
    TANZANIA YAPANGWA KUNDI LA KAWAIDA CHAN, KENYA SHUGHULI WANAYO, UGANDA…

    TANZANIA YAPANGWA KUNDI LA KAWAIDA CHAN, KENYA SHUGHULI WANAYO, UGANDA…

    WENYEJI wenza, Tanzania wamepangwa Kundi B katika Fainali za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN)  pamoja na Madagascar, Mauritan...
    M-BET YATAMBULISHA TOVUTI YENYE HUDUMA BORA NA BOMBA KWA WATEJA

    M-BET YATAMBULISHA TOVUTI YENYE HUDUMA BORA NA BOMBA KWA WATEJA

    Meneja Masoko wa M-Bet Tanzania, Levis Paul akizungumza wakati wa utambulisho mpya wa tovuti ya kampuni hiyo ambayo imeboreshwa na kuwa ya k...
    Tuesday, January 14, 2025
    SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI

    SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifingia klabu ya Simba kuingiza watazamaji katika mechi zake mbili za Kombe la Shirikisho Afrika baada y...
    Monday, January 13, 2025
    MRISHO NGASSA, WASSWA WA UGANDA NA MARIGA KUCHEZESHA DROO YA CHAN

    MRISHO NGASSA, WASSWA WA UGANDA NA MARIGA KUCHEZESHA DROO YA CHAN

    NYOTA wa zamani wa soka Afrika Mashariki, Hassan Wasswa wa Uganda, Mrisho Ngassa wa Tanzania na McDonald Mariga wa Kenya wameteuliwa kuwa Wa...
    YANGA YAICHAPA AL HILAL 1-0 MAURITANIA

    YANGA YAICHAPA AL HILAL 1-0 MAURITANIA

    KLABU ya Yanga imeweka hai matumaini ya kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al-Hilal Omdurma...
    Sunday, January 12, 2025
    SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Bravos do Maq...
    Saturday, January 11, 2025
    AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI

    AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI

    KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo mshambuliaji, Zidane Sereri (19) kutoka Dodoma Jiji kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka mita...
    Friday, January 10, 2025
    ZANZIBAR HEROES YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI, HARAMBEE STARS ‘OUT’

    ZANZIBAR HEROES YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI, HARAMBEE STARS ‘OUT’

    WENYEJI, Zanzibar wamefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kenya usiku huu Uwanja wa Gombani ...
    Thursday, January 09, 2025
    TANZANIA BARA ‘KICHWA CHA MWENDAWAZIMU’ KOMBE LA MAPINDUZI

    TANZANIA BARA ‘KICHWA CHA MWENDAWAZIMU’ KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Tanzania Bara imekamilisha mechi zake tatu za Kombe la Mapinduzi kwa kupoteza zote baada ya leo pia kuchapwa mabao 2-0 na Burkina Fa...
    Tuesday, January 07, 2025
    KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA

    KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA

    TIMU ya Tanzania Bara imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Kenya leo Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanz...
    ZANZIBAR HEROES YACHAPWA 1-0 NA BURKINA FASO KOMBE LA MAPINDUZI

    ZANZIBAR HEROES YACHAPWA 1-0 NA BURKINA FASO KOMBE LA MAPINDUZI

    WENYEJI, Zanzibar usiku wa Jumatatu wamechapwa bao 1-0 na Burkina Faso katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Uwanja wa Gombani,...
    Sunday, January 05, 2025
    SIMBA SC YAICHAPA SFAXIEN 1-0 TUNISIA BAO LA AHOUA

    SIMBA SC YAICHAPA SFAXIEN 1-0 TUNISIA BAO LA AHOUA

    TIMU ya Simba imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, CS Sfaxien katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa Olym...
    Saturday, January 04, 2025
    MZIZE AFUNGA MAWILI, AZIZ KI MOJA YANGA YAICHAPA TP MAZEMBE 3-1

    MZIZE AFUNGA MAWILI, AZIZ KI MOJA YANGA YAICHAPA TP MAZEMBE 3-1

    WENYEJI, Yanga wameweka hai matumaini ya kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe ya...
    Friday, January 03, 2025
    ZANZIBAR HEROES YAICHAPA STARS 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    ZANZIBAR HEROES YAICHAPA STARS 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    BAO la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 52 limetosha kuipa Zanzibar Heroes ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ka...
    Wednesday, January 01, 2025
    LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI

    LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI

    Ligi Kuu inasimama Simba SC ikiwa kileleni kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga baada ya timu zote kucheza mechi 15. BODI ya Li...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA