Wednesday, April 16, 2025
    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga watamenyana na wenyeji, KVZ katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano Aprili 25 kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa New ...
    VODACOM YAZINDUA ‘TWENDE BUTIAMA 2025’, LENGO KUBORESHA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

    VODACOM YAZINDUA ‘TWENDE BUTIAMA 2025’, LENGO KUBORESHA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

    KWA miaka ishirini na tano, Vodacom Tanzania PLC imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuchochea maendeleo endelevu katika jamii. Msafara wa T...
    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watasafiri hadi Tanga kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya...
    Monday, April 14, 2025
    JKT TANZANIA YAITANGULIA YANGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    JKT TANZANIA YAITANGULIA YANGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRD...
    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Singida Black Stars imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki...
    SIMBA SC NA STELLENBOSCH KUPIGWA UWANJA WA AMAAN JUMAPILI

    SIMBA SC NA STELLENBOSCH KUPIGWA UWANJA WA AMAAN JUMAPILI

    MCHEZO wa kwanza wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Uwanja wa N...
    TANZANIA YAPANGWA KUNDI A NA MISRI, ZAMBIA NA AFRIKA KUSINI AFCON U20

    TANZANIA YAPANGWA KUNDI A NA MISRI, ZAMBIA NA AFRIKA KUSINI AFCON U20

    TANZANIA imepangwa Kundi A katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka (AFCON U20) zinazotarajiwa kufanyi...
    Sunday, April 13, 2025
    SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB, YAICHAPA MBEYA CITY 3-1

    SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB, YAICHAPA MBEYA CITY 3-1

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baa...
    NAHODHA WA NIGERIA ILIYOTWAA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 1980 AFARIKI DUNIA

    NAHODHA WA NIGERIA ILIYOTWAA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 1980 AFARIKI DUNIA

    NAHODHA na Kocha wa zamani wa timu ya ya Nigeria, Christian Chukwuemeka Chukwu amefariki dunia jana (Aprili 12, 2025) akiwa ana umri wa miak...
    Friday, April 11, 2025
    JKT TANZANIA NA NAMUNGO HAKUNA MBABE, SARE 2-2 MBWENI

    JKT TANZANIA NA NAMUNGO HAKUNA MBABE, SARE 2-2 MBWENI

    TIMU ya JKT Tanzania imetoa sare ya kufungana mabao 2-2 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Alhamisi Uwanja wa Meja...
    Thursday, April 10, 2025
    MASHUJAA FC YAIKUNG’UTA TABORA UNITED 3-0 KIGOMA

    MASHUJAA FC YAIKUNG’UTA TABORA UNITED 3-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    COASTAL UNION YAICHARAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAICHARAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
    Wednesday, April 09, 2025
    SERIKALI YAUFUNGA UWANJA WA MKAPA KWA MAREKEBISHO YA PITCH

    SERIKALI YAUFUNGA UWANJA WA MKAPA KWA MAREKEBISHO YA PITCH

    SERIKALI imeufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ili kupisha marekebisho katika eneo la kuchezea na imeziagiza timu zote zilizoomb...
    NI STELLENBOSCH DARAJA LA SIMBA KWENDA FAINALI CAF

    NI STELLENBOSCH DARAJA LA SIMBA KWENDA FAINALI CAF

    TIMU ya Simba SC itakutana na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baadaye mwezi huu. Hiyo ni baa...
    DODOMA JIJI YAITWANGA KAGERA SUGAR 2-0 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAITWANGA KAGERA SUGAR 2-0 JAMHURI

    WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa leo ...
    RAIS DK SAMIA AWAMWAGIA PONGEZI WEKUNDU WA MSIMBAZI

    RAIS DK SAMIA AWAMWAGIA PONGEZI WEKUNDU WA MSIMBAZI

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba SC kwa kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikish...
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA KENGOLD 3-1 MBEYA DERBY SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA KENGOLD 3-1 MBEYA DERBY SOKOINE

    TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MATUTA

    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MATUTA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri ji...
    NI AL AHLY NA MAMELODI SUNDOWNS NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    NI AL AHLY NA MAMELODI SUNDOWNS NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    MABINGWA watetezi, Al Ahly ya Misri usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa ba...
    Tuesday, April 08, 2025
    KHALID AUCHO KUWAKOSA AZAM FC NA ATAKUWA NJE WIKI TATU

    KHALID AUCHO KUWAKOSA AZAM FC NA ATAKUWA NJE WIKI TATU

    KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho atakuwa nje kwa wiki tatu baada ya jana kuumia nyama za paja wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara...
    PAMBA JIJI NA FOUNTAIN GATE HAKUNA MBABE, 1-1 KIRUMBA

    PAMBA JIJI NA FOUNTAIN GATE HAKUNA MBABE, 1-1 KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
    Sunday, April 06, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    Saturday, April 05, 2025
    MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA

    MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa L...
    PAMBA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 KIRUMBA

    PAMBA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA