KLABU ya Yanga imemtambulisha Adnan Behlulovic raia wa Bosnia-Herzegovina 'Super Papa Adi' kuwa Kocha wake mpya wa Fitness akiungana na Mmorocco, Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wa timu hiyo.
Behlulovic (43) ni beki wa zamani wa kushoto aliyecheza klabu mbalimbali nchini kwao, Bosnia-Herzegovina ikiwemo Baton Sarajevo na za madaraja ya nchini nchini Ujerumani ikiwemo, SV Eintracht Ahaus.
0 comments:
Post a Comment