// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 12/01/2024 - 01/01/2025 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 12/01/2024 - 01/01/2025 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 29, 2024
    COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA KMC, 1-1 ARUSHA

    COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA KMC, 1-1 ARUSHA

    WENYEJI, Coastal Union wametoka sare ya kufungana bao 1-1 na KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sh...
    PACOME AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5-0

    PACOME AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5-0

    MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya le...
    M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    KAMPUNI  ya michezo ya kubashiri ya M-Bet kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Halotel kupitia HaloPesa zimezawadia washindi wa kwanza wa ...
    Saturday, December 28, 2024
    Friday, December 27, 2024
    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA JKT TANZANIA 3-1 CHAMAZI

    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA JKT TANZANIA 3-1 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wametoka nyuma kwa bao moja na kushinda mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usik...
    SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA CECAFA U17

    SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA CECAFA U17

    WENYEJI, Uganda wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (CECAFA U17...
    Thursday, December 26, 2024
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 UWANJA WA SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 UWANJA WA SOKOINE

    TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
    Wednesday, December 25, 2024
    MZIZE AWEKA MBILI NYAVUNI YANGA YAICHAPA DODOMA JIJI 4-0 JAMHURI

    MZIZE AWEKA MBILI NYAVUNI YANGA YAICHAPA DODOMA JIJI 4-0 JAMHURI

    MABINGWA watetezi, Yanga wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Dodoma Jiji mabao 4-...
    NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BABATI

    NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BABATI

    TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa...
    Tuesday, December 24, 2024
    SIMBA SC YAJITANUA KILELENI LIGI KUU, YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MWENGE

    SIMBA SC YAJITANUA KILELENI LIGI KUU, YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MWENGE

    TIMU ya Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania leo Uwanja ...
    SERENGETI BOYS YAFUZU AFCON 2025 BAADA YA KUCHAPA SUDAN KUSINI 4-0

    SERENGETI BOYS YAFUZU AFCON 2025 BAADA YA KUCHAPA SUDAN KUSINI 4-0

    TIMU ya taifa ya vijana Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kukata tiketi ya AFCON U17 2025 nchini Morocco baada ...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-1 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-1 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wametoka nyuman na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kengold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Ba...
    Monday, December 23, 2024
    Saturday, December 21, 2024
    MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-2 BUKOBA

    MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-2 BUKOBA

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Ka...
    Friday, December 20, 2024
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Maj...
    KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KOMBE LA MAPINDUZI

    KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KOMBE LA MAPINDUZI

    KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita wachezaji 30 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar itakayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi...
    Wednesday, December 18, 2024
    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya  katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya   jion...
    VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTTI KOCHA BORA

    VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTTI KOCHA BORA

    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid ya Hispania, Vinícius Junior ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka ya 2024 a...
    Tuesday, December 17, 2024
    WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKANA, WABEBA PIKIPIKI, SMARTPHONE NA TV INCHI 65

    WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKANA, WABEBA PIKIPIKI, SMARTPHONE NA TV INCHI 65

    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya  LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki kampeni hiyo.   ...
    AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KILELENI LIGI KUU

    AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KILELENI LIGI KUU

    WENYEJI, Azam FC wametanua mbawa kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mche...
    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 ‘KWA MWINYI’

    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 ‘KWA MWINYI’

    WENYEJI, Tabora United wamepunguzwa kasi baada ya kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania...
    Monday, December 16, 2024
    KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII

    KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII

    BAO la dakika ya 88 la beki Hance Masoud Msonga limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa  Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 SOKOINE

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    Sunday, December 15, 2024
    KIBU DENNIS SHUJAA…SIMBA YAIKANDA SFAXIEN 2-1 ‘KWA MKAPA’

    KIBU DENNIS SHUJAA…SIMBA YAIKANDA SFAXIEN 2-1 ‘KWA MKAPA’

    WENYEJI, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa mwisho mzunguko wa kwanza Kundi A Kombe la ...
    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    TIMU ya Namungo FC imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ...
    Saturday, December 14, 2024
    YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1-1 NA MAZEMBE LUBUMBASHI

    YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1-1 NA MAZEMBE LUBUMBASHI

    BAO la dakika ya 90'+4 la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo limeinusu Yanga kupoteza mechi ikipata sare ya 1-1 na wenyeji, T...
    Friday, December 13, 2024
    MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-1

    MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-1

    WENYEJI, Tabora United wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Ali Hassa...
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE KWARAA

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE KWARAA

    WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    Thursday, December 12, 2024
    KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0

    KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0

    WENYEJI, KMC wametoka suluhu na Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Ki...
    SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ZOTE KAPIGA RUPIA

    SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ZOTE KAPIGA RUPIA

    TIMU ya Singida Big Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
    Wednesday, December 11, 2024
    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Kaitab...
    PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA SARE YA 0-0 MBWENI

    PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA SARE YA 0-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya bila mabao na Pamba Jiji ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni leo Uwa...
     M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPITIA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPITIA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

    MASHABIKI wa soka wa Tanzania, sasa wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na fedha kupitia kampeni ya  Amsha Amsha iliyozindul...
    YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL PATRICK MWENDA

    YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL PATRICK MWENDA

    KLABU ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo anayeweza kucheza nafasi za ulinzi hususan beki wa kulia, Israel Patrick Mwenda (24) kutoka Singi...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top