• HABARI MPYA

        Sunday, November 03, 2024

        SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL UNION


        TIMU ya Singida Black Stars jana ililazimishwa sare ya bila mabao na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
        Matokeo hayo yanaifanya Black Stars ifikishe pointi 23 katika mchezo wa 10 na inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi, wakati Coastal Union inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 11 nafasi ya tisa.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry