AFISA Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally akionyesha moja ya jezi mpya za Simba maalum kwa ajili ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika, inayochezwa kwa mtindo wa makundi wakati wa uzinduzi wa jezi hizo asubuhi ya leo duka la Sandaland The Only One, Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI UZINDUZI WA JEZI ZA SIMBA
0 comments:
Post a Comment