// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA
WENYEJI, Mashujaa wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Mshambuliaji Tariq Seif Kiakala alianza kuifungia Kagera Sugar dakika ya 31, kabla ya mshambuliaji Mohamed Saleh Mussa kuisawazishia Mashujaa kwa penalti dakika ya 88. Kwa matokeo hayo, Mashujaa inafikisha pointi 17 na kusogea nafasi ya sita, wakati Kagera Sugar inafikisha pointi tisa katika mchezo wa 12 nafasi ya 13.
CAF confirm date and venue for CHAN 2024 Draw
-
CAF has confirmed the official draw for the 2024 TotalEnergies African
Nations Championship (CHAN) will take place on 15th January 2025. Kenyatta
Interna...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment