• HABARI MPYA

        Saturday, November 23, 2024

        MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TANGANYIKA


        BAO pekee mshambuliaji anayetumika kama mlinzi kwa sasa, Abdulrahman Mussa dakika ya tano tu limeipa Mashujaa FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
        Kwa ushindi huo, Mashujaa inafikisha pointi 16 katika mchezo wa 11 na kusogea nafasi ya saba, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake tisa za mechi 11 pia nafasi ya 13.
          
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry